Loading...

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.

Loading...
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.
link : MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.

soma pia


MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.

Na. Estom Sanga- Zanzibar. 

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd amesema utekelezaji wa shughuli za Maendeleo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kisiwani Zanzibar umekuwa wa mafanikio makubwa na wenye tija katika jitihada za serikali za kupunguza umaskini kwa wananchi.

Balozi Seif Ali Idd ameyasema hayo alipokutana na Wadau wa Maendeleo na Maafisa wa TASAF Ofisini kwake mjini Unguja wakiwa katika ziara ya kutembelea Walengwa wa Mfuko huo ikiwa ni utaratibu wa kukutana na Walengwa kuona namna wanavyonufaika na huduma za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini.

Makamu huyo wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,amesema maeneo yote ambako TASAF kupitia Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini unatekelezwa, Walengwa wameboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa kwa kuanzisha miradi ya kiuchumi na kujiongezea kipato chao.

Amesema ongezeko la kipato limezifanya Kaya za Walengwa kumudu gharama za kuhudumia Watoto na wengine kuboresha makazi yao ikilinganishwa na hali ilivyokuwa kabla ya kujumuishwa kwenye Mpango huo ulioanzishwa na serikali kwa lengo la kuboresha maisha ya Walengwa nchini kote.

Balozi Seif Ali Idd amesema kutokana na mafanikio yaliyoanza kuonekana kutokana na huduma za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Serikali itaendelea kusimamia kwa karibu mpango huo ili wananchi hususani wanaokabiliwa na kero ya umaskini waweze kuondokana na kero hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bw. Ladislaus Mwamanga, amesema mafanikio ya utekelezaji wa Mpango huo wa kunusuru Kaya Maskini yamechangiwa kwa kiwango kikubwa na usimamizi wa karibu wa viongozi wa Serikali katika ngazi mbalimbali za uongozi kote nchini kote. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar.Balozi Seif Ali Idd (anayetazama kamera) akizungumza na Wadau wa Maendeleo na Maafisa wa TASAF ofisini kwake-mjini Unguja. 
Balozi Seif Ali Idd (aliyevaa Kaunda Suti nyeupe) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Bw. Ladislaus Mwamanga baada ya kikao na wadau wa maendeleo ofisini kwake.

Makamu wa Pili wa Rais wa SMZ (walioketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Maendeleo na Maafisa wa TASAF ofisini kwake kisiwani Unguja. 




Hivyo makala MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.

yaani makala yote MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-smz-balozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF."

Post a Comment

Loading...