Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO
link : MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO
MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Anna Mghwira akisoma taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-aanza-ziara-ya-siku-saba.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO"
Post a Comment