Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA
link : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA
MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa hospitali ya Wilaya ya Siha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt. Andrew Method (kulia) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya Wilaya ya Siha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Pichani Hospitali ya Wilaya ya Siha inavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Matabi wilayani Siha wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha.
Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Matabi wilayani Siha wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara-yake.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA SIHA"
Post a Comment