Loading...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI
link : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Bweni jipya la Wanafunzi wa Kike litakalochukua wanafunzi 150 kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Balozi wa Nchini Mhe. Elisabeth Jacobsen, Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo mara baada ya kukagua Bweni jipya la wanafunzi wa kike 150 waati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadharaa na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya kazi za wanafunzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-afungua-ukumbi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI"

Post a Comment

Loading...