Loading...

UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE

Loading...
UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE
link : UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE

soma pia


UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE

NA TIGANYA VINCENT, TABORA
SERIKALI Wilayani Uyui imesema inakusudia kuendesha Kampeni maalumu ya Nishike Mkono Mwezi Machi mwaka huu kwa lengo la kukusanya shilingi bilioni 1.5 (1,500,000,000/-) ambazo zitasaidia ujenzi wa dahari(hosteli) 15 kwenye Sekondari 15 za Kata ili kuwalinda watoto wa kike na mimba na ndoa za utotoni.

Kauli hiyo imetolewana Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mama wadogo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora-Uyui yaliandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwajengea uwezo watoto wa kike ambao walikubwa na tatizo la mimba za utotoni.

Alisema lengo la kujenga daharia hizo ni kuwaepusha wanafunzi wa kike wa shule za Sekondari na mimba, vishawishi vinavyowafanya washindwe kuendelea na shule na kuozeshwa na wazazi wao , kuwapa utulivu wa kujisomea kwa kuwa karibu na mazingira ya shule na kuwaepusha kuacha shule kwa sababu ya kutembea umbali mrefu wa kwenda shule ambapo wakati mwingine wanakutana na matatizo ya kutaka kubakwa.

Mkuu huyo wa Wilaya hiyo alisema kuwa kukamilika kwa Daharia hizo sio tu kutasaidia watoto wa Kata husika bali wale wanaotoka Kata jirani ambazo hazina Sekondari ambapo wanafunzi wao wanatembelea umbali mrefu kwenda jirani.
  Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora Baraka Makona akitoa maelezo mafupi mafunzo mafupi kwa mama wadogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora yaliyojenga kuwajengea uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi sahihi ya kujiwekea 
malengo katika maisha yao.
  Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Julius Toneshi akitoa maelezo mafupi mafunzo mafupi  kwa mama wadogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora yaliyojenga kuwajengea uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi sahihi ya kujiwekea malengo katika maisha yao.
 Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya akifungua  mafunzo mafupi  kwa mama wadogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi sahihi ya kujiwekea malengo katika maisha yao.
 Baadhi ya mama wadogo wakiwa katika mafunzo ya siku mbili mafunzo yalilenga kuwajenga kuwajengea uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi sahihi ya kujiwekea malengo katika maisha yao.
 Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na mama wadogo  mara baada kufungua  mafunzo mafupi  kwa mama wadogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi sahihi ya kujiwekea malengo katika maisha yao.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE

yaani makala yote UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/uyui-kujenga-dahariahostel-15-zenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UYUI KUJENGA DAHARIA(HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA WANAFUNZI WA KIKE"

Post a Comment

Loading...