Loading...

TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA.

Loading...
TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA.
link : TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA.

soma pia


TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA.

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaendelea na maandalizi yake ya mchezo wa kuitafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho utakaochezwa Novemba 18, 2018 Maseru, Lesotho.

Katika mazoezi waliyofanya jana golikipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Yahya Zayd walipumzishwa baada ya kugonana, taarifa ya madaktari zilitoa ruhusa kwa Zayd kuanza mazoezi na Beno kusubiri mpaka leo.

Meneja waStars, Danny Msangi amesema kuwa wachezaji wote wanaendelea vizuri na wana morali ya kutosha kuhakikisha wanaweza kupata matokeo katika mchezo wao.

"Wachezaji wote wapo vizuri, Beno Kakolanya naye leo amefanya mazoezi kwa kuwa hakuwa na majeruhi makubwa,  Zayd jana alifanya mazoezi baada ya daktari kumruhusu," alisema.

Stars inayonolewa na Emmanuel Ammunike ipo kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde imeweka kambi Afrika Kusini ili kuendana sawa na hali ya Lesotho, wanafanyia mazoezi katika uwanja wa Bloemfontein Celtic.


Hivyo makala TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA.

yaani makala yote TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/taifa-stars-yaendelea-kujifua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA."

Post a Comment

Loading...