Loading...
title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Bweni jipya la Wanafunzi wa Kike litakalochukua wanafunzi 150 kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Balozi wa Nchini Mhe. Elisabeth Jacobsen, Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo mara baada ya kukagua Bweni jipya la wanafunzi wa kike 150 waati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadharaa na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya kazi za wanafunzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya kazi za wanafunzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_9.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Afungua Ukumbi wa Mihadhara na Bweni."
Post a Comment