Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018
link : MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018
MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018
Spika wa Bunge la Vijana, Mhe. Zephania Sane akiongoza Kikao cha Pili cha Mkutano wa Bunge la Vijana mwaka 2018. Mkutano huo wa Bunge la Vijana unafanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Waziri wa Kazi na Ajira katika Bunge la Vijana, Mhe. Victoria Ngowi akijibu swali la mbunge wakati kikao cha Bunge la Vijana kikiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Mbunge wa Bunge la Vijana kutokea upande wa Upinzani, Mhe. Julius Mtatiro akiuliza swali Bungeni wakati kikao cha Bunge hilo la Vijana kinachoendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Bunge la Vijana, Mhe. Shabir Bigirwa akijibu maswali ya wabunge wakati kikao cha Bunge la Vijana kinachoendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Vijana wakimsikiliza Waziri wa Elimu katika Bunge hilo Mhe. Riziki Bakari wakati akijibu swali la Mbunge katika kikao cha Bunge hilo la Vijana kinachofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/matukio-mbalimbali-ya-mkutano-wa-bunge.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2018"
Post a Comment