Loading...

MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO

Loading...
MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO
link : MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO

soma pia


MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MEYA  wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirika la kutetea haki na ustawi wa watu wenye ualbino la Under The Same Sun, tawi la Tanzania.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jana shirika hilo lililowakilishwa na Ofisa Uraghibishaji Kondo Seif, limeomba fursa ya kukutana na  madiwani wa Mkoa wa Dar es salaam wanapokuwa kwenye vikao vya kazi, ili kuwaeleza masuala mbalimbali yanayohusu dhana nzima ya ualbino na changamoto zake.

Taarifa ya Ofisa Habari wa Ofisi ya Meya Christina wa Jiji la Dar es Salaam Christina amesema Mwagala Meya wa jiji
Meya Mwita aliridhia ombi la shirika la Under The Same Sun na kuahidi ofisi yake kusaidia kwenye jitihada za kumaliza madhila wanayoyapata watu wenye ualbino.

Itakumbukwa katika miaka ya 2006, Tanzania iligubikwa na habari za matukio ya mauaji na ukataji wa viungo vya watu wenye ualbino, na kutumia viungo vya miili ya watu hao  kwa imani za kishirikina, kwa kuamini kuwa watafanikiwa kwenye shughuli zao za kiuchumi.


Tangu wakati huo, shirika la Under The Same Sun limekuwa likizunguka maeneo mbalimbali nchini kutoa elimu kuhusu ualbino, jinsi unavyopatikana sambamba na kutoa ufadhili wa kielimu kwa watu wenye ualbino, ambapo zaidi ya wanafunzi 400 nchi nzima wanafaika kwa kulipiwa gharama za elimu kuanzia ngazi ya elimu ya msingi hadi vyuo vikuu.
 Afisa uraghibishaji wa shirika la Under the Same Sun, Kondo Seifu akimuonesha  Mstahiki Meya Isaya Mwita picha mbalimbali zilizomo kwenye kitabu hicho  jumbe mbalimbali zinazo elezea walemavu hao
 Afisa uraghibishaji wa shirika la Under the Same Sun, Kondo Seifu akizungumza jambo na Mstahiki Meya Isaya Mwita jumbe mbalimbali zinazo elezea walemavu hao
 Afisa uraghibishaji wa shirika la Under the Same Sun, Kondo Seifu akimkabidhi Mstahiki Meya Isaya Mwita jumbe mbalimbali zinazo elezea walemavu hao


Hivyo makala MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO

yaani makala yote MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/meya-mwita-akutana-na-ujumbe-wa-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MEYA MWITA AKUTANA NA UJUMBE WA WATU WENYE UALIBINO"

Post a Comment

Loading...