Loading...

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima.

Loading...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima.
link : Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima.

soma pia


Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mwenyekiti kufungua Semina hiyo
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akitoa Ufafanuzi kuhusu lengo la Mafunzo haya.
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Comred Peter Kasera akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri James akizungumza jambo na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Comred Hassan Bomboko katika Ufunguzi wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Idara wakifuatilia Katikati ni Comred Hassan Bomboko Mkuu wa Idara ya Uhamaishaji na Chipukizi,(Kulia)Comred Khamana Juma Simba Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Pamoja na Comred Nelson Lusekelo Mkuu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshwaji.
 Baadhi ya Watendaji waliohudhuria Semina wakifuatilia
 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanao tokana na Vijana wakifuatilia
 Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia semina
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri Denis James (kulia|) pamoja na Makamu Mwenyekiti Comred Thabia Mwita  wakifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko leo mara baada ya Ufunguzi waSemina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm)
Picha ya Pamoja ya Viongozi washiriki wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma. (Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm)


Hivyo makala Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima.

yaani makala yote Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mwenyekiti-wa-uvccm-taifa-ndg-kheri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Kheri James Afungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba Kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Nchi Nzima."

Post a Comment

Loading...