Loading...
title : RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII
link : RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII
RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (kushoto) amefanya uzinduzi wa albamu ya Injili ya “Jerusalem Band” kutoka kanisa la EAGT Kiloleli chini ya Mchungaji Dkt. Jacob Mutashi, uliofanyika Novemba 11, 2018 katika ukumbi wa Belmont Fairmont Hotel Jijini Mwanza.
Mhe. Mongella ametumia fursa hiyo kusisitiza suala la maadili katika jamii na kukemea viashiria/ vitendo vya mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Mhe. Mongella ametumia fursa hiyo kusisitiza suala la maadili katika jamii na kukemea viashiria/ vitendo vya mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Tazama Video hapa chini
Hivyo makala RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII
yaani makala yote RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rc-mongella-asisitiza-umuhimu-wa.html
0 Response to "RC MONGELLA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KATIKA JAMII"
Post a Comment