Loading...
title : NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali.
link : NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali.
NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali.
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni imepata ajali leo Novemba 2,2018 eneo la Karakata baada ya behewa mbili kuanguka.
Kwa mujibu baadhi ya abiria waliokuwa kwenye treni hiyo wamesema ajali hiyo imetokea leo kwenye saa moja kasoro asubuhi ambapo baada ya kufika eneo hilo mabehewa mawili yalipinduka.
Mmoja wa abiria hao aliyejitambulisha kwa jina la Juma Jebe amesema yeye alikuwa behewa la nne kutoka mabahewa yaliyoanguka na kwamba baada ya tukio hilo kuna baadhi ya abiria walionekana kuzimia kutokana na hofu. Hata hivyo amesema anashukuru kwani hakushuhudia mtu yoyote kuumia.
Michuzi Blog itaendelea kukujuza kilichosababisha kuanguka kwa mabehewa hayo baada ya mamlaka husika kuzungumzia
Hivyo makala NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali.
yaani makala yote NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/newz-alerttreni-inayotoa-huduma-za.html
0 Response to "NEWZ ALERT:TRENI inayotoa huduma za usafiri kati ya Stesheni ya Dar es Salaam na Pugu Stesheni yapata ajali."
Post a Comment