Loading...

Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Loading...
Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
link : Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

soma pia


Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

 Mkuu wa huduma za Sheria na Katibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Maulid Kikondo akimwelezea Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Mansour AbuAli maendeleo ya ukarabati wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo alipofanya ziara katika taasisi hiyo na kutembelea ukarabati wa wodi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
  Baba wa mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua Hamis Daud akimwelezea Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Mansour AbuAli maendeleo ya mtoto wake baada ya kufanyiwa upasuaji huo alipofanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kutembelea wagonjwa wodini leo Jijini Dar es Salaam
 Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akielezea namna wagonjwa wa moyo wanavyofanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na kupatiwa matibabu ya karibu katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) kwa balozi wa Palestina nchini  Mhe. Hamdi Mansour AbuAli alipotembelea chumba cha ICU wakati wa ziara yake katika taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam 
 Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Mansour AbuAli akizungumza na menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) namna ambavyo Palestina itashirikiana na taasisi hiyo katika masuala mbalimbali ya afya ya moyo baada ya kufanya ziara kuangalia huduma zinazotolewa na taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Mansour AbuAli baada ya kufanya ziara kuangalia huduma zinazotolewa na taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Pcha na: Genofeva Matemu - JKCI


Hivyo makala Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

yaani makala yote Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/palozi-wa-palestina-atembelea-taasisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Palozi wa Palestina Atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)"

Post a Comment

Loading...