Loading...
title : Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu
link : Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu
Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akipokea mipira ya maji safi na salama iliyotolewa na Mwakilishi Simai Mohamed Said (kulia) na Mbunge Khalifa Suleiman Salum (kushoto) kwa wananchi wa jimbo la Tunguu Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa wananchi wa jimbo la Tunguu baada ya kupokea mipira ya maji safi jana.
Picha na Martin Kabemba
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akihutbia wananchi wa Tunguu kwenye ukumi wa Dunga wilaya ya Kati mkoa wa Kusini unguja baada ya kupokea mipira ya maji yenye thamani ya sh.milioni 5. Picha na Martin Kabemba.
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akishiriki katika kazi ya kuchimba mfereji na uwekaji wa mipia ya maji safi huko Tngu Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba.
Hivyo makala Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu
yaani makala yote Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/polepole-akabidhi-mipira-ya-maji-safi.html
0 Response to "Polepole akabidhi mipira ya maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo la Tunguu"
Post a Comment