Loading...
title : Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu
link : Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu
Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wamesema wanamsaka mwanaume aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akiwa na msanii Wema Sepetu.
Akizungumza leo Jumanne Novemba 6, 2018, Kaimu Kamanda wa Kanda hiyo, Liberatus Sabas amesema polisi wanaendelea kumsaka mwanaume huyo na wakimpata wanamfikisha mahakamani.
“Polisi tunaendelea kumtafuta huyu jamaa, hatujakata tamaa na ikiwa tutamkamata lazima tumfikishe mahakamani kwani ana kesi ya kujibu,’’ amesema.
Amesema kwamba watu wanadhani labda jeshi la polisi limeshaachana na mwanaume huyo lakini bado ni mtuhumiwa na hivyo akikamatwa anapelekwa mahakamani.
Hivyo makala Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu
yaani makala yote Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/jeshi-la-polisi-laendelea-kumsaka.html
0 Response to "Jeshi la Polisi laendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu"
Post a Comment