Loading...
title : PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO
link : PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO
PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO
Meneja wa PSSSF Zanzibar Issa Sabuni akitoa elimu kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya faida zinazopatikanwa katika mfuko huo baada ya kuunganishwa na mifuko mengine na kua mifuko mmoja wanye kuleta faida kwa Wafanyakazi Wastaafu.
Afisa Maendeleo PSSSF Hamza Msangi akitoa Mafunzo kwa Jeshi la Polisi faida zinazopatikanwa katika Mfiko huo katika ghafla iliofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Unguja.
Msaidizi Kamishna wa Polisi Zanzibar F C Shilogile akitoa shukurani kwa Maafisa wa PSSSF kwa kuwapatia Mafunzo Wafanyakazi wake katika ghafla iliofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Zanzibar,( kulia) ni Meneja wa PSSSF Zanzibar Issa Sabuni.
Baadhi ya Askari wa jeshi la Polisi waliohudhuria katika Mafunzo hayo yaliofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Mjini Unguja.
Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.
Hivyo makala PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO
yaani makala yote PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/psssf-yatoa-elimu-kwa-jishi-la-polisi.html
0 Response to "PSSSF YATOA ELIMU KWA JISHI LA POLISI ZANZIBAR JUU YA FAIDA ZINAZOPATIKANWA KATIKA MFUKO HUO"
Post a Comment