Loading...
title : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.
link : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali (katikati )akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheih Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Piocha na Yussuf Simai - Maelezo - Zanzibar.
Hivyo makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.
yaani makala yote Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-wa-biashara-na-viwanda-zanzibar.html
0 Response to "Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar."
Post a Comment