Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo wakielekea kwenye viwanja vya Kambi ya 95KJ kukagua magari ya Kikosi hicho ambayo yatatumika kubeba korosho katika mikoa ya Kusini iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Madereva wa Kikosi cha Usafirishaji cha Jeshi 95KJ ambao wapo tayari kutekeleza maagizo ya Serikali baada ya siku ya jumatatu saa 10 alaasiri iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatanunua korosho zilizopo katika mikoa ya kusini.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hawaonekani (pichani) katika Kambi ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo kwa Kikosi hicho cha 95KJ kubeba Korosho zote zitakazo nunuliwa na Serikali iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya Jumatatu saa kumi alasiri.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hawaonekani (pichani) katika Kambi ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo kwa Kikosi hicho cha 95KJ kubeba Korosho zote zitakazo nunuliwa na Serikali iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.
 Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakimsikiliza Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam

  Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimiana na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimiana na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-dkt-magufuli-akagua-magari-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA KUSINI (LINDI NA MTWARA) IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI"

Post a Comment

Loading...