Loading...

Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa

Loading...
Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa
link : Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa

soma pia


Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa



Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Vijana chini ya umri wa miaka 20  Salum Ali Haji, ametangaza kikosi cha  awali cha wachezaji 38, kwa ajili ya kujiandaa na Mashindano ya Cecafa ya Vijana yanayotarajiwa kufanyika Uganda Disemba 15-25, 2018 .

Kocha Salum ametangaza kikosi hicho kwenye Ukumbi wa uwanja wa Amaan , katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mchana wa leo.

Walioitwa kuunda kikosi hicho upande wa Makipa yupo, Peter Dotto Mashauri (Black Sailors), Abdulattif Said Masoud (Jamhuri), Mwinyi Ali Mwinyi (Mapembeani) na Yakoub Suleiman (Muembeladu).

Mabeki: Khalid Khamis (Simba FC ya Zanzibar), Abdul hamid Ramadhan (Villa Fc), Abdulhakim Khamis Faki (Sporting FC), Abubakar Suleiman (ZFDC), Mudathir Nassor (New Afrika), Salum Suleiman (Kimbunga Fc) Ahmada Khamis Amour (Kinyasini), Shaabani Pandu (Villa United), Omar Haji Chareli (Mlandege), Abdul salami Habibu Ubwa (Villa United) na Ame Ali Khamis (Villa United).

Viungo: Arif Mohd Said (Opec), Fahad Mussa Hassan (Mapembeani), Eliyass Suleiman (KMKM), Nassir Sheha Abdallah (Opec), Mohd Mussa (Malindi), Yahaya Silima (ZFDC), Abdul hakim Naimu (Villa United), Khalid Habib Iddi (Mpapa Star), Mohd Ramadhan Khamis (Villa United), Mohd Issa Simai (Happy kids), Bakar Ajuwed Jaffar (JKU Academy) na Rakib Mohd Ali (Freedom Kids).

Washambuliaji: Faki Abdallah (JKU Academy), Hussein Mohd Khamis, (New Afrika), Said Salum Khamis (Taifa ya Jangombe), Mohd Daud Suleiman (King Boys), Abdillah Haji Khamis (Opec), Ibrahim Ali "Chafu" (Mlandege), Omar Ame Omar (Kwerekwe City), Abdul hamid Juma "Samata" (Mlandege) na Ramadhan Makame (Yambone).

Imeandikwa na Abubakar Khatib (Kisandu) Afisa habari wa ZFA.


Hivyo makala Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa

yaani makala yote Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kikosi-cha-zanzibar-heroes-u-20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikosi cha Zanzibar Heroes U-20 Chatangazwa"

Post a Comment

Loading...