Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA
link : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, leo 23/11/2018, na kuhudhuriwa na Wataalamu wa Maradhi ya Figo kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited ya Dar es Salaam,Ndg. Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Mashine ya kusafishia Figo, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resout Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kushoto Mwenyekiti wa NESOT. Dr. Onesmo Kisanga, wakati akitembelea maonesho hayo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamah Rashid Mohammed, wakimsikiliza Mtaalamu wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited Ndg. Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Dawa zinazotumika kwa Wagonjwa waradhi ya Figo wakati akitembelea monesho kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalam wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Profesa Mohammed Janabi,kulia wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya ufunguzi huo, na kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Dr. Mohammed Jidawi Mshauri wa Waziri Afya Zanzibar.(Picha na Ikulu ).
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-wa-zanzibar-dk-shein-afungua.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO TANZANIA"
Post a Comment