Loading...
title : SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR.
link : SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR.
SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR.
Kampuni ya SAMSUNG imefungua duka Jipya kwa ajili ya kuuza bidhaa mbalimbali za kisasa ambazo ni rafiki kwa watumiaji hapa nchini na nje ya nchi.
Duka hilo linapatikana maeneo ya Posta 'Askari' jijini Dar es Salaam, ambapo kwa sasa wametoa offer ya asilimia 5 kwa kila bidha ikiwemo Tv za kisasa, mashine za kufulia nguo pamoja na simu aina smart phone.
Hivyo makala SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR.
yaani makala yote SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/samsung-yafungua-duka-kubwa-dar.html
0 Response to "SAMSUNG YAFUNGUA DUKA KUBWA DAR."
Post a Comment