Loading...

SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA

Loading...
SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA
link : SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA

soma pia


SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA

Na Evaristy Masuha – Mtwara 

Serikali kupitia mradi wa uendelezaji miji Mkakati (Tanzania Strategic Cities Project) imetoa bilioni 21.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimblai ya maendeleo katika Manispaa ya Mtwara mikindani. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa barabara 4 za mitaa kwa kiwango cha lami, Ujenzi wa maeneo matatu ya kupumzikia (Recreation Center), mfereji mkubwa wa kuondoa maji ya mvua, ujenzi wa soko la kisasa pamoja na kituo cha daladala eneo la Mikindani. 

Akizungumza leo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda amesema fedha hizo zimetolewa kwa mkopo na Benki ya dunia na kwamba ujenzi wa miradi hiyo yote inatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba 2019. 

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amesema kukamilika kwa miradi hiyo kutaufanya mji wa mtwara kuwa na muonekano mzuri na kwamba hiyo ndiyo hatua nzuri kuifanya Manispaa kuwa na sifa ya kuwa Jiji. “Naamini baada ya kukamilika miradi hii Mtwara itakuwa sehemu nyingine na pengine inaweza kupata sifa ya kuelekea kuwa jiji”. Amewataka vijana waliopata nafasi ya kuajiliwa katika ujenzi wa miundombinu hiyo kuwa waamifu ili kujijengea imani kwa waajiri. 

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa (mwenye shati Jeupe) akikagua ujenzi wa mfereji wa maji kutoka Skoya, Nabwaba, Shakuru hadi Mtepwezi.
Mfereji wa kuondoa maji kutoka Skoya, Nabwada Shakuru hadi Mtepwezi

Ujenzi wa soko la Chuno 

 


Hivyo makala SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA

yaani makala yote SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/serikali-yatoa-bilioni-21-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA"

Post a Comment

Loading...