Loading...
title : SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI
link : SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI
SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI
*Ammwagia sifa kutokana na utendaji wa kutukuka
*Asema anaandika historia kuwa Rais mjenga nchi
*Ahoji Watanzania wanataka nini tena zaidi ya ....
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
WAKATI Watanzania wa kada mbalimbali wakitoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wa Rais Dk.John Magufuli ambaye ametimiza miaka mitatu kwenye nafasi hiyo, Spika wa Bunge Job Ndugai ameamua
kuweka wazi kila kitu kuhusu Rais wetu.
Spika Ndugai amesisitiza utendaji kazi wa Rais Dk.Magufuli pamoja na timu yake yote ya Serikali ya Awamu ya Tano ni wa mfano usiopatikana kirahisi katika Bara la Afrika.Akizungumza na Michuzi Blog kwenye mahojiano maalumu yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake Mjini Dodoma,Spika Ndugai amesema Rais Magufuli pamoja na mambo mengi ambayo ameyafanya na kuleta heshima kwa nchi yetu ukweli ni kwamba uzalendo wake ni mkubwa na wa hali ya juu.
"Uzalendo mkubwa na wa hali ya juu ameounesha kama kiongozi wa nchi.Tuliwahi kupata ahadi na awamu zilizopita na hasa kutokana na zuluma iliyokuwa inafanyika kwenye madini ,lakini Rais wetu Dk.Magufuli yeye aliahidi kupitiwa upya kwa mikakata ya madini na kweli yote imefumuliwa na imeshonwa upya."Na hili eneo la madini lilikuwa eneo gumu ambalo haligusiki lakini yeye ameweza.Ameonesha uzalendo wa hali ya juu katika kuhakikisha rasilimali za nchi yetu zinanufaisha Watanzania wote,"amesema Spika
Ndugai wakati anazungumzia utendaji kazi wa Rais Magufuli katika kipindi cha miaka mitatu.Pia jambo moja ambalo Watanzania walikuwa wakililia sana kabla ya uchaguzi mkuu ambao umemuweka madarakani Rais Magufuli ni ilikuwa kupata kiongozi mwenye maamuzi."Tumepata Rais mwenye maamuzi, aidha unapenda au hupendi hiyo shauri yako lakini yeye ameshaamua.
"Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maamuzi.Ni kiongozi anayeamua kwa wakati na tunakumbuka huko nyuma kuna mambo yalikuwa yamenyooka na yanahitaji maamuzi kwa ngazi mbalimbali lakini hayakutolewa maamuzi.Sasa hilo limebaki historia,"amesema.Spika Ndugai amefafanua zaidi kuwa Rais Magufuli anapambana rushwa na ufisadi moja kwa moja."Katika hilo tunashuhudia hata baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) wakibadilishwa kwa kushindwa kwenda na kasi yake kulingana na taarifa alizonazo,"amesema.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/spika-job-ndugai-aweka-hadharani-kila.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AWEKA HADHARANI KILA KITU KUHUSU RAIS DK.MAGUFULI"
Post a Comment