Loading...

TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA

Loading...
TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA
link : TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA

soma pia


TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA

Na Khadija Seif,Globu ya Jamii 

Msanii wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz ametangaza ramsi kuanza kwa tamasha la Wasafi Festival Novemba 24 mwaka huu. 

Tamasha hlo linalotarajiwa kufanyika kwenye mikoa mbalimbali nchini litaanzia Mkoani Mtwara ikiwa ni mara ya kwanza toka kuanza kwa Tv na Redio.

Akizungumza na wadau pamoja na wanahabari Leo Jijini Dar es salaam, Diamond amesema kuwa tamasha la Wasafi Festival lina lengo la kutoa burudani nchini na nje ya nchi ili kutangaza mziki wa kitanzania zaidi na kufundisha jamii jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii vizuri. 

Diamond amesema kuwa, licha ya kutangaza mziki huo kwenye mikoa ambayo itapata kushuhudia burudani hiyo ni wataanzia tarehe 24 mwezi huu kwenye mkoa wa Mtwara katika viwanja vya Nangwanda na ikifatiwa na mkoa wa Iringa,Morogoro , Zanzibar na mikoa mingine na pamoja na nchi ya Kenya. 

Amefafanua zaidi katika kila Mkoa utakaotembelewa pia watapata fursa kwa kukarabati shule , Wanafunzi kupatiwa sare za shule, madaftari na kupatiwa madawati huku kwa wakina mama wasiopungua 200 kupewa mitaji ya kibiashara ili kujikwamua kiuchumi . 

Sambamba na hilo wasichana wasiopungua 20 watapewa mafunzo ya urembo wa uso pamoja na vifaa vya kupambia. Meneja wa msanii Daimond Platinum Hamis Tale maarufu kama Babu Tale amewaambia wazi kwa sasa radio ya wasafi iko hewani kupitia masafa ya 88.9 ambayo ipo kwa ajili ya kutoa fursa kwa ambao vipaji vyao havijapata nafasi ya kuvuma. 

Tale ametoa rai kwa mashirika ,wadau na wanamuziki ambao wangependa kushiriki katika tamasha hilo nafasi zipo wazi wanakaribishwa.

Msanii wa Bongofleva Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' akizungumza na waandishi wa habari wakati wakutambulisha rasmi tamasha la Wasafi Festival Nov 24 mwaka huu Mkoani Mtwara.


Hivyo makala TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA

yaani makala yote TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/tamasha-la-wasafi-festival-kuzinduliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA RASMI NOVEMBA 24 MTWARA"

Post a Comment

Loading...