Loading...

TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019

Loading...
TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019
link : TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019

soma pia


TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.

Kamati ya Uchaguzi ya TFF imetangaza kuanza mchakato wa uchaguzi maalum wa kujaza nafasi ambazo zilizo wazi ndani ya klabunya Yanga ikiwemo ile ya Mwenyekiti.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Mchungahela amesema zoezi la kuchukua fomu kwa wagombea litaanza Novemba 8 hadi 13 2018 na wanachama wote watatakiwa kuhakiki majina yao kwenye matawi.

Aidha ameeleza kuwa uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Januari 13 2019. TFF wamemua kutangaza rasmi kuanza mchakato huo mara baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kuwataka wausimamie wakieleza kuwa kamati ya Yanga haijitoshelezi.

BMT waliitaka TFF itimize majukumu hayo katika kikao na wanahabari kilichofanyika siku chache zilizopita.BMT iliiwataka Yanga kuitisha uchaguzi wake kwa ajili ya kujaza nafasi za viongozi waliojizuru huku ikiwemo ya Manji aliyeiandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Mwenyekiti wa Klau hiyo

Taarifa ya BMT kwa vyombo vya Habari ilisema kwamba, Yanga imebaki na Wajumbe wanne kati ya 13 waliochaguliwa katika uchaguzi wa Juni 12, mwaka 2016 Dar es Salaam.Viongozi waliojiuzulu ndani ya klabu hiyo ni Mwenyekiti Yusuf Manji, Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga, na wajumbe Hashimu Abdallah, Salum Nkemi, Omary Said, Ayoub Nyenzi na huku waliobaki ni wajumbe Thobias Lingalangala, Samwel Lukumay, Siza Lyimo na Hussein Nyika. 
Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi ya TFF , Ally Mchungahela akizungumza na waandishi kuhusiana na uchaguzi wa klabu ya Yanga.


Hivyo makala TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019

yaani makala yote TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/tff-yatangaza-uchaguzi-wa-yanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF YATANGAZA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA JANUARI 13 2019"

Post a Comment

Loading...