Loading...
title : Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni
link : Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni
Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni
Kamishna wa Maadili Jaji Harold Nsekela katikati (mwenye miwani), Katibu Ukuzaji wa Maadili toka Sekretarieti ya maadili ya Viongozi wa Umma Waziri Kipacha na Katibu Msaidizi Kanda ya Pwani Getrude Cyliacua wakitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika uandishi wa insha wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi iwa insha na uchoraji wa katuni. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa IEC, Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Morogoro.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Morogoro Noela Conradi (Kushoto) na Zainabu Hamisi (kulia) wakijadili mada ya mgongano wa maslahi kwa viongozi wa umma mbele ya Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela (aliyekaa mwenye miwani) wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni.
Kulia kwake ni Katibu Msaidizi Kanda ya Pwani Bi. Getrude Cyliacua na kushono ni Katibu Ukuzaji wa Maadili toka Sekretarieti iya Maadili ya Viongozi wa Umma Waziri Kipacha. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa IEC, Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Morogoro.
Kamishna wa Maadili Jaji Harold Nsekela katikati (mwenye miwani), Katibu Ukuzaji wa Maadili toka Sekretarieti ya maadili ya Viongozi wa Umma Waziri Kipacha na Katibu Msaidizi Kanda ya Pwani Getrude Cyliacua wakiimba wimbo wa Tanzania nakupenda wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi iwa insha na uchoraji wa katuni. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa IEC, Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Morogoro.
Wanafunzi wa Klabu za maadili wa manispaa ya Morogoro ya wakiimba wimbo wa Tanzania nakupenda wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa IEC, Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Morogoro.
Hivyo makala Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni
yaani makala yote Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/tume-ya-maadili-yatoa-zawadi-kwa.html
0 Response to "Tume ya maadili yatoa zawadi kwa wanafunzi wa klabu za Maadili walioshinda katika uandishi wa insha na uchoraji wa katuni"
Post a Comment