Loading...
title : NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA
link : NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA
NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA
Watu saba waliokuwa wakisafiri katika gari STL 6250 mali ya CAG wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari SU 41173 mali ya PSSSF, katika eneo la Chalinze Mkoani Dodoma leo.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa waliofariki katika ajali hiyo mkoani Dodoma leo katika gari la Ofisi ya CAG ni dereva wa ofisi hiyo na wengine 6 ni ndugu wa Naibu CAG waliokuwa wakitoka katika msiba huko Chato mkoani Geita.
Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma Giles Muroto, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba watu saba wamefariki katika ajali iliyohusisha magari mawili ya serikali ikiwemo, STL 6250 Toyota Land Cruiser kutoka ofisi ya CAG, baada ya kugongana uso kwa uso na gari yenye nambari SU 41173.
Hivyo makala NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA
yaani makala yote NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/newz-alert-watu-saba-wapoteza-maisha.html
0 Response to "NEWZ ALERT: WATU SABA WAPOTEZA MAISHA AJALI YA CHALINZE MKOANI DODOMA"
Post a Comment