Loading...

Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili

Loading...
Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili
link : Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili

soma pia


Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili

Wataalam wabobezi wa upasuaji wa kinywa mataya na uso (Oral & maxillofacial surgeons) wa Hospitali ya Taifa 


Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao wa Marekani kwa mara ya kwanza kupitia Hospitali ya umma nchini, wamefanya upasuaji wa ubingwa wa kuunganisha mifupa ya fuvu kwa mgonjwa aliyepata ajali na sura yake kuharibika.

Upasuaji huo ambao ulifanywa na wataalam wa Muhimbili kwa kushirikiana na wenzao kutoka Hospitali ya Kansas City na Chuo Kikuu cha Missouri nchini Marekani, ulifanikiwa kurejesha sura ya mgonjwa huyo katika hali yake ya kawaida.

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, Mataya na Uso, Dkt. Daud Shaban amesema upasuaji mwingine uliofanyika unahusisha wagonjwa waliokuwa na uvimbe mkubwa sehemu ya taya na uso. Amesema pia wataalam wenzake walifanya upasuaji wa kutengeneza taya jipya kwa mgonjwa aliyepata ajali na taya lake kuharibika ambapo wamechukua kipande cha mfupa kutoka kwenye sehemu ya kiuno chake na kukiunganisha na taya ili kulikamilisha upasuaji huo.

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, Mataya na Uso wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Doraha Kiwale (kulia), Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, Mataya na Uso, Dkt. Daud Shaban wa Muhimbili (katikati) na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, Mataya na Uso, Dkt. Baraka Kileo wa Muhimbili wakifanya upasuaji wa kuondoa uvimbe chini ya shingo ya mgonjwa ambao umeziba mshipa mkubwa wa kupeleka damu kwenye ubongo. Wa pili kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, mataya, na Uso, Prof. Thaer Raifallah kutoka Hospitali ya Kansas City na Chuo Kikuu cha Missouri huko Marekani akishiriki kwenye upasuaji huo. 
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kinywa, Mataya na Uso wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Daud Shaban akizungumza na mwandishi wa habari kuhusu upasuaji wa kinywa, mataya na uso ambao unafanywa na wataalam wa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalam kutoka Hospitali ya Kansas City na Chuo Kikuu cha Missouri nchini Marekani. 
Wataalam wa wakiendelea na upasuaji katika hospitali hiyo.



Hivyo makala Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili

yaani makala yote Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/upasuaji-wa-kuunganisha-mifupa-ya-fuvu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Upasuaji wa kuunganisha mifupa ya fuvu la uso wafanyika Muhimbili"

Post a Comment

Loading...