Loading...

UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA

Loading...
UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA
link : UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA

soma pia


UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA

 
 
 
Upelelezi wa kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, umekamilika.

Hayo yamebainika leo Jumatatu Novemba 26, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi.

Kesi ya Zitto iko mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shahidi na imepangwa usikilizwaji wa awali Desemba 13 mwaka huu.

Inadaiwa Oktoba 28, 2018 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya ofisi ya chama cha ACT Wazalendo mshtakiwa akiwa katika mkutano huo kwa nia ya kuleta chuki kwa wananchi wa Tanzania dhidi ya Jeshi la polisi alitoa Maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki.

Katika shtaka la pili, Kweka alidai kuwa siku na mahali hapo, Zitto Kijitonyama alitoa Maneno ya uchochezi ambayo  yalikuwa na lengo lenye kuleta hofu.

Aidha Zitto anadaiwa Kutoa waraka kwa umma ukiwa na Maneno ya kichochezi kwa nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya polisi.


Hivyo makala UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA

yaani makala yote UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/upelelezi-kesi-ya-zitto-kabwe-waiva.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPELELEZI KESI YA ZITTO KABWE WAIVA"

Post a Comment

Loading...