Loading...

WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA.

Loading...
WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA.
link : WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA.

soma pia


WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti ndani ya klabu hiyo jana.

Tiboroha amefikia maamuzi hayo akiamini anaweza kuwa chachu ya mabadiliko ndani ya Yanga na kuamua kuchukua fomu hiyo.

Mwanachamu huyo ambaye aliwahi kuwa kiongozi ndani ya Yanga miaka kadhaa nyuma na baadaye kuelekea Stand United, amekuwa mtu pekee aliyechukua fomu hiyo.

Halikadhalika katika upande wa Makamu Mwenyekiti, Yono Kevela naye amechukua fomu hiyo.

Kwa upande wa Wajumbe waliochukua fomu ni pamoja na Hamad Ally, Benjamin Jackson, Silvestoer Haule, Musa Katabaro,Said Baraka, Pindu Luhoyo, Dominic Francis na Jeko Jihadhari.


Hivyo makala WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA.

yaani makala yote WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wadau-wajitokeza-kuchukua-fomu-yanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YANGA."

Post a Comment

Loading...