Loading...

WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO

Loading...
WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO
link : WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO

soma pia


WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo  kwa wadau wa Wizara hiyo katika  hafla fupi  ya Uzinduzi wa Uzalendo na Utaifa iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam .
 Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa  Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Leah Kihimbi akiongea jambo na wadau wa Wizara hiyo (Hawapo katika picha) katika  hafla fupi ya Uzinduzi wa  Kampeni ya Uzalendo na Utaifa leo Jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Mawasiliano na Uhusinao wa Umma kutoka benki ya NBC Bw. William Kallage ambao  ndio Wadhamini Wakuu wa Kampeni ya Uzalendo na Utaifa mwaka  huu inayotarajiwa kufanyika tarehe 8  Disemba  2018 Jijini Dodoma, akieleza jambo kwa wadau wenzake waliofika kuunga mkono uzinduzi wa kampeni hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa,  Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi(kulia) akimvalisha nembo inayoashiria uzalendo Mkuu wa Mawasiliano na Uhusinao wa Umma kutoka benki ya NBC Bw. William Kallage ambao ndio wadhamini wakuu wa Kampeni ya Uzalendo na Utaifa mwaka  huu inayotarajiwa kufanyika tarehe 8  Disemba  jijini Dodoma.
 Wadau wa Sanaa kutoka katika sekta binafsi taasisi za Serikali wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea  katika  hafla fupi ya uzinduzi wa Kampeni ya Uzalendo na Utaifa leo Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO

yaani makala yote WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wadau-wajitokeza-kuunga-mkono-kampeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WAJITOKEZA KUUNGA MKONO KAMPENI YA UZALENDO"

Post a Comment

Loading...