Loading...

WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA

Loading...
WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA
link : WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA

soma pia


WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA




Mratibu wa ASDP 2 Mhandisi January Kayumbe akiwasilisha Mada ya fursa ya Sekta binafsi katika utekelezaji wa ASDP 2 katika warsha ya siku mbili ya wadau wa Kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania, ambapo ameonyesha fursa nyingi zinazopaswa kutumiwa na sekta binafsi katika Mpango huo wa Pili wa Kilimo nchini.
Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya baraza la kilimo Tanzania Bw. Julias Nyabicha na Mh Jitu Soni ambaye ni Mjumbe wa Bodi Mstaafu wakifuatilia kwa karibu uwasilishwaji wa Mada mbalimbali katika Warsha ya wadau wa Kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania.
Sehemu ya wadau wa Kilimo nchini wanaoshiriki Warsha ya Kitaifa ya wadau wa Kilimo inayofanyika Jijini Dar es Salaam wakifuatilia Warsha hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania yenye kauli mbili ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda Tanzania.
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya baraza la kilimo Tanzania Dkt Sinare Yusuph Sinare akiwa na wadau wengine wa kilimo wakifuatilia warsha ya wadau wa kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania.
Makamo Mwenyeki wa SACAU Bi Doreen Hlatshwayo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania Bi Janeth Bitegeko wakifautilia uwasilishwaji wa mada za kilimo kwa wadau wa walioshiriki warsha ya siku mbili ya wadau wa kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania.


Hivyo makala WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA

yaani makala yote WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/warsha-ya-wadau-wa-kilimo-yabeba-kauli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WARSHA YA WADAU WA KILIMO YABEBA KAULI MBILI YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...