Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ukarabati wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato, Novemba 27, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani na wapili kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwikwabe Mwita Waitara. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Bibi Jenifer Erasto aliyelazwa katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato wakati alipotembelea Kituo hicho na Kuweka Jiwe la Msingi la Maradi wa Ukarabati wa Kituo, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kukagua na Kuzindua Ukarabati wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-majaliwa-azindua-kituo-cha.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATO"
Post a Comment