Loading...

WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA.

Loading...
WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA.
link : WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA.

soma pia


WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA.

WAZEE Wastaafu 2000 mkoani Tanga wamenufaika na mikopo kutoka Benki ya Posta (TPB) wenye thamani ya sh.bilioni 6.7 kupitia pensheni zao ambao umeweza kuwasaidia kukidhi mahitaji yao na kuwakwamua kimaendeleo wao na jamii zao. 

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta (TPB) Noves Moses wakati wa halfa ya kukabidhi vifaa vya ofisi kwa ajili ya Chama cha Muungano wa Wanajeshi wastaafu mkoa wa Tanga (MUWAWATA) zenye thamani ya milioni 1.5. 

Vifaa vya ofisi ambavyo vilikabidhiwa ni viti sita, meza moja na feni mbili ambavyo vitawawezesha wazee hao kuweza kutekeleza majukumu yao ya kila siku ya kiofisi hali itakayowasaidia kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa ambapo mikopo hiyo bado inaendelea. 

Alisema kwamba huo ni mwanzo hivyo wataendelea kushirikiana na wazee wote nchini wa taasisi mbalimbali ili kuweza kuwasaidia kukidhi mahitaji yao hivyo kuwataka wastaafu kuchangamkia fursa hiyo ikiwemo kuwapa elimu namna ya kutumia fedha husika. “Lakini niwaambie kwamba sisi TPB tunawaambiwa wazee wastaafu nchi nzima tunawajali kwa kutoa mikopo na huduma za kibenki wao wamekuwa wa kwanza kuweza kutoa mikopo kwao kabla ya hapo wastaafu walikuwa wanaonekana kama ni kada ambayo haikopesheni tulianza kutoa mikopo kwa wastaafu kupitia pensheni zao “Alisema. 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta (TPB) Noves Moses kushoto akimkabidhi vifaa vya ofisi Mwenyekiti wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu mkoani Tanga (MUWAWATA) Stepheni Mponji vifaa vya ofisi kwa ajili ya Chama cha Muungano wa Wanajeshi wastaafu mkoa wa Tanga (MUWAWATA) venye thamani ya milioni 1.5
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta (TPB) Noves Moses kushoto akimkabidhi feni kwa ajili ofisi Mwenyekiti wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu mkoani Tanga (MUWAWATA) Stepheni Mponji vifaa vya ofisi kwa ajili ya Chama cha Muungano wa Wanajeshi wastaafu mkoa wa Tanga (MUWAWATA) juzi ambapo benkio hiyo ilitoa vifaa venye thamani ya milioni 1.5.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta (TPB) Noves Moses kushoto akimkabidhi meza kwa ajili ya matumizi ya ofisi Mwenyekiti wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu mkoani Tanga (MUWAWATA) Stepheni Mponji juzi ambapo benki hiyo ilitoa vifaa venye thamani ya milioni 1.5



Hivyo makala WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA.

yaani makala yote WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wazee-wastaafu-2000-mkoani-tanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZEE WASTAAFU 2000 MKOANI TANGA WANUFAIKA NA MIKOPO KUTOKA BENKI YA POSTA."

Post a Comment

Loading...