Loading...

WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII

Loading...
WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII
link : WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII

soma pia


WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama amewapa somo Wataalam wa Maendeleo ya Jamii nchini kuwa mfano katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuwapa mwanga wananchi kuona mfano na kuiga na kuanzisha viwanda vidogo vidogo vitakavyowezesha kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kufikia Uchumi wa Kati ifikapo mwaka 2025.

Ameyasema hayo leo mkoani Arusha alipokuwa akizindua Kongamano la Mwaka liliwakutanisha Wataalam wa Maendeleo kutoka Wizara husika, Taasisi za Serikali, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri, Sekta Binafsi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.

Waziri Jenista amesema kuwa katika maendeleo ya nchi yoyote Wataalam wa Maendeleo ya Jamii ni watu muhimu katika kuamsha ari ya wananchi katika kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla katika kulueta uchechembuzi katika utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo katika maeneo yao.

Ameongeza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi katika kuwawezesha wananchi kuchumi na kusema kuwa katika Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kuna jumla ya mifuko.. inayotoa mikopo kwa waananchi ili kujikwamua kiuchumi kwa kufanya biashara na kauanzisha viwanda vidogo vidogo katika maeneno yao na kuwataka Wataalam wa Maendeleo ya Jamii kuchukua mikopo hiyo na kuanzisha viwanda vidogo vidogo ili kuwa mfano kwa jamii.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akiangali moja ya vitabu vya Sera mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kabla ya kuzindua Kongamano la wataalam wa Maendeleo ya Jamii unaofanyika mkoani Arusha. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akiangali moja ya vitu mbalimbali inavyotengezwa na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kabla ya kuzindua Kongamano la wataalam wa Maendeleo ya Jamii unaofanyika mkoani Arusha. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wataalam wa Maendeleo ya Jamii kutoka Taasisi za serikali Sekta Binafsi,  Mashirika yasiyo ya Kiserikali waliojumuika katika uzinduzi wa Kongamano la Wataalam wa Maendeleo ya Jamii linaloendela Mkoani Arusha. 
Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akielezea jinsia umuhimu wa wataalam wa Maendeleo ya Jamii unavyoweza kuleta mabadiliko katika jamii wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Wataalam wa Maendeleo ya Jamii linaloendela Mkoani Arusha. 



Hivyo makala WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII

yaani makala yote WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-jenista-awafunda-wataalam-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JENISTA AWAFUNDA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII"

Post a Comment

Loading...