Loading...

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA

Loading...
WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA
link : WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA

soma pia


WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (wakwanza kulia)  akitizama mboga za majani zilizokaushwa na kuhifadhiwa  katika paketi kwa ajili ya kuuzwa alipotembelea leo banda la wajasiriamali kutoka kikundi cha Amka Group cha Tabora Mjini kushoto ni Mjasiriamali wa kikundi hicho Bi.Anna Shango ambao wameshiriki maonesho ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji  linaloendelea Mkoani Tabora (wapili kulia) ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe.Joseph Kakunda uwanja wa Jeshi.
PIX 3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati)  akitizama viungo vya mbalimbali vya chakula vilivyosagwa na kuhifadhiwa  katika vikopo kwa ajili ya kuuzwa alipotembelea leo banda la wajasiriamali kutoka Wilaya ya Uyui ambao wameshiriki maonesho ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji  linaloendelea Mkoani Tabora katika uwanja wa Jeshi.
PIX 5
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (wakwanza kushoto)  na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe.Joseph Kakunda (katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe.Aggrey Mwanri wakifurahia maziwa yanayotengenezwa na Neema Brand mjasiriamali mdogo wa Mkoa huo leo walipotembelea Maonesho ya wajasiriamali waliyoshiriki maonesho  ya Jukwaa la Fursa za Biashara  katika uwanja wa Jeshi linaloendelea Mkoani hapo,kushoto ni Bi.Sameera Sumar mmilikiwa biashara hiyo.
PIX 7
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto)  akitizama  zulia lillofumwa kwa mikono na Mjasiriamali  Bw.Hassan Rashid (kulia) kwa kutumia mikono  na mifuko ya sandarusi iliyokwisha kutumika na nzuri  leo  alipotembelea maonesho ya wajasiriamali  waliyoshiriki Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji  linaloendelea Mkoani Tabora katika uwanja wa Jeshi.


Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA

yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-mwakyembe-atembelea-banda-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA BANDA LA WAJASIRIAMALI WA TABORA"

Post a Comment

Loading...