Loading...

ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA

Loading...
ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA
link : ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA

soma pia


ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA

Na. Vero Ignatus, Arusha

Madereva wa mabai ya kubebea abiria katika mkoa wa Arusha wamepatiwa mafunzo ilihali wengine waki3ndelea na mafunzo

Akizungumza Mrakibu wa polisi Joseph Charles Bukombe mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani mkoani Arusha amesema lengo kuu ni kuhakikisha kuwa madereva wote wanapata elimu na wanatoa huduma inayoendana na elimu waliyoipata

Tangia kuanzishwa kwa mafunzo ya madereva miezi minne iliyopita madereva 1600 wamehitimu mafunzo wa magari ya kubeba abiria (PSV)kupitia chuo cha Veta pamoja na chuo rafiki wa NIT cha Moden driving vyote vya mkoa wa Arusha.

"Pamoja na mapambano hayo ya ajali za barabarani ni lazima kuhakikisha kuwa wapo madereva wenye weledi" alisema Bukombe. Aidha amesema mafunzo haya yamesaidia sana kwani mkoa hapo pamekuwa salama bila Ajali ."Tangia tumeanzisha mafunzo takribani miezi minne iliyopita kwa mkoa wa Arusha tupo salama, na ukikuta ajali imesababishwa na bodaboda na siyo magari ya abiria" alisema Bukombe

Mara baada ya kuona ajali zimeongezeka jeshi la polisi liliendesha ukaguzi wa leseni na kugundua kuwa madereva wengi wana leseni lakini hawana vyeti, kwahiyo yamkini wanazipata leseni kwa njia wanazozijua wao."Sisi tukasema hawawezi kuendelea na leseni walizonazo badala yake warudi darasani kwenda kusoma ili waweze kupata vyeti"alisema.



Mrakibu wa Polisi Joseph Charles Bukombe mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani mkoani Arusha .



Hivyo makala ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA

yaani makala yote ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/zaidi-ya-madereva-1600-wapatiwa-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZAIDI YA MADEREVA 1600 WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA"

Post a Comment

Loading...