Loading...

WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII

Loading...
WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII
link : WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII

soma pia


WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII


Na. Vero Ignatus Arusha

Siku chache baada ya Benki kuu ya Tanzania kutoa ufafanuzi Juu ya Oparesheni ya Ukaguzi wa Maduka ya kubadilishia Fedha za Kigeni Jijini Arusha ,Wizara ya Mali asili na Utalii imejitokeza na kusema Zoezi hilo halijaathiri shughuli za Kitalii

Naibu waziri wa maliasili na Utalii Constatine Kanyasu ameyasema hayo wakati lipotembelea taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kwenye mkutano wake na wafanyakazi wa shirika la hifadhi za taifa(TANAPA) jijini Arusha na kusema watalii wanaendelea kupata huduma kwani zoezi hilo ni la kawaida na limelenga maslahi ya nchi.

Mara baada ya Mazungumzo hayo Naibu Waziri akiwa nje ya Ukumbi wa Mamlaka hiyo , amezungumza na Wanahabari kisha kugusia suala la oparesheni iliyofanywa na Benki Kuu hivi karibu Jijini hapa.Ameeleza kuwa zoezi hilo lililovishirikisha vyombo vya dola na halijaathiri uchumi katika sekta ya fedha za kigeni hasa kwa upande wa utalii kwa kuwa ni zoezi hilo la mara moja kuwahusisha wanajeshi ambao wanawajibu wa kulinda rasilimali za nchi yao.

'' Wanajeshi hawawezi kuathiri uchumi wa nchi hasa sekta ya utalii kwakuwa wanawajibu wa kulinda rasilimali zetu‘’alisema Kanyasu .Akiongelea suala la migogoro ya Ardhi na mipaka kwa baadhi ya mipaka amesema wizara yake imejipanga kukomesha changamoto hiyo ambayo imekuwa ikitumia fedha nyingi bila kupatiwa ufumbuzi.

Aidha amesema migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi,Naibu waziri anasema hakuna mtu ama taasisi inayonufaidika na Migogro hiyo na imekuwa ikichochewa na makundi machache na tayari serikali imekwisha anza kuchukua hatua.Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa Jumla ya Vijiji mia tatu tisini na mbili vitanufaika na zoezi la upimaji wa matumizi bora ya ardhi lenye lengo la Kupunguza

Migogoro ambapo tumepanga billion 2.5 kwa miradi midogo midogo kuweza kuweka nguvu kwa wananchi kuondoa misuguano isiyo na lazima ambayo inaathiri kiasi kikubwa shughuli za uhifadhi.


Naibu Waziri Wizara ya Mali asili na Utalii Constatine Kanyasu



Hivyo makala WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII

yaani makala yote WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wizara-ya-maliasiali-na-utalii-yawatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA MALIASIALI NA UTALII YAWATOA HOFU WATALII"

Post a Comment

Loading...