Loading...

ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.

Loading...
ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.
link : ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.

soma pia


ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.







Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hata hivyo ,Zitto amekana kwa kusema sio kweli na muda huu yupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri uamuzi wa dhamana.

Zitto Kabwe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo Novemba 2,2018 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu Oktoba 31, 2018.

Zitto anatuhumiwa kutoa taarifa za uongo kuhusu mauaji ya baadhi ya askari polisi na wananchi katika kijiji cha Mpeta, wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma.

Zitto, mmoja wa wanasiasa wenye ushawishi mkubwa nchini, mara baada ya kukamatwa alipelekwa kwenye Kituo cha polisi cha Oysterbay, kabla ya kuhamishiwa polisi kati na baadaye kulazwa kwenye kituo cha polisi Mburahati.

Kabla ya kukamatwa na Polisi, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma, Martin Ottieno, alimtaka Zitto kuwasilisha alichokiita, “vielelezo vya madai yake,” kuwa watu zaidi ya 100 wameuwa katika eneo la Uvinza.


Hivyo makala ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.

yaani makala yote ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/zitto-kabwe-afikisha-mahakamani-asomewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZITTO KABWE AFIKISHA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI."

Post a Comment

Loading...