Loading...
title : BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE
link : BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE
BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE
Na Pamela Mollel,Arusha
Banc ABC katika kuwajali wateja wake wa maeneo mbalimbali hapa nchini imeanzisha huduma maalumu ya kutumia satellite ili kuwafikia kwa haraka zaidi
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha hivi karibuni, Meneja wa Benki hiyo Magabe Nyambuche alisema pamoja na kuboresha huduma za kibenki pia wameanzisha huduma hiyo ya satelite itakayokuwa na uwezo wa kuwafikia hata wateja wavijijini
Alitaja mikoa ambao kwa sasa wanatoa huduma hiyo ya satellite ni Arusha,Dar es salaam,Dodoma na Mwanza.Alisema kuwa katika msimu huu wa sikukuu ya Chrismas wanatoa zawadi kwa wateja wote watakao weka pesa kwenye account(fixed account)watapata riba papo kwa papo.Pia aliwataka wananchi kujiunga na benki hiyo kwakuwa huduma zake ni nzuri .
Hivyo makala BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE
yaani makala yote BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/banc-abc-yaanzisha-huduma-mpya-kwa.html
0 Response to "BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE"
Post a Comment