Loading...
title : CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE
link : CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE
CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE
*Kamati Kuu kukutana Desemba 17 na 18 Dar, yazungumzia pia ushindi wa kishindo
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kuwa kimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wito ambao umetolewa na Katibu Mkuu wao Dk.Bashiru Ally kwa kada wa Chama hicho Benard Membe kama sehemu ya utaratibu wa kawaida wa Katibu Mkuu kukutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano.
Taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM Humphrey Polepole ambayo ameitoa leo Desemba 3 mwaka huu wa 2018 amesema kuwa wanatoa rai kwa rai kwa watanzania kuwa wito wa Katibu Mkuu ulikuwa ni wa kawaida wa kiongozi wa CCM kwa mwanachama wa CCM, hivyo uzushi, uchonganishi, fitina na uvumi mwingine wowote unaoendelea hasa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yenye hila mbaya, wana CCM na Umma wa watanzania wanaombwa
waupuuze.
"Chama Cha Mapinduzi kinawataka wana CCM na watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa na umoja, mshikamano na upendo zaidi katika kipindi hiki ambacho Rais Dk.John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM anandelea kutuongoza katika mageuzi makubwa ya kiuchumi na ya kimaendeleo kwa watanzania wote,"amesema Polepole kwenye taarifa hiyo.
Hivyo makala CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE
yaani makala yote CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/ccm-yatoa-neno-mjadala-unaondelea.html
0 Response to "CCM YATOA NENO MJADALA UNAONDELEA MTANDAONI KUHUSU DK.BASHIRU NA MEMBE"
Post a Comment