Loading...

BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO

Loading...
BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO
link : BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO

soma pia


BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na baadhi ya watoto na wazazi waliofika katika Tamasha la “Twende9teen” lilioandaliwa na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na “Young Money Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za watoto wao hususani katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika leo katika viwanja vya Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili yao. Walioketi kushoto ni Naibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Joseph Witts pamoja na Esther Kitoka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na baadhi ya watoto na wazazi waliofika katika Tamasha la “Twende9teen” lilioandaliwa na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na “Young Money Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za watoto wao hususani katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika leo katika viwanja vya Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) pamoja na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Esther Kitoka wakishiriki kuwafunguliwa watoto zawadi za pipi, katika Tamasha la “Twende9teen” lilioandaliwa na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na “Young Money Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za watoto wao hususani katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika leo katika viwanja vya Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akijaza fomu ya kuweka hela kwenye akauti ya Junior Jumbo katika gari maalum la Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Twende 9nteen JJ leo katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimuuliza swali mmoja wa watoto katika Tamasha hilo.



Hivyo makala BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO

yaani makala yote BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/benki-ya-crdb-yazindua-kameni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMENI YA “Twende9teen” JIJINI DAR LEO"

Post a Comment

Loading...