Loading...
title : BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI
link : BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI
BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI
Baadhi ya viongozi wakifuatilia kwa makini mkutano wa mabenki ya akiba Afrika Mashariki. Mkutano huo uliofanyika Zanzibar ulijumuisha wajumbe kutoka benki ya akiba Uganda na Kenya. Dhumuni la mkutano huo ni kujadili changamoto pamoja na fursa mbalimbali zilizopo katika nchi za Afrika Mashariki kupitia benki za akiba nchini humo.
Uongozi wa Benki ya TPB wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mkutano wa mabenki ya akiba Afrika Mashariki. Mkutano huo uliofanyika Zanzibar ulijumuisha wajumbe kutoka benki ya akiba Uganda na Kenya. Dhumuni la mkutano huo ni kujadili changamoto pamoja na fursa mbalimbali zilizopo katika nchi za Afrika Mashariki kupitia benki za akiba nchini humo.
Hivyo makala BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI
yaani makala yote BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/benki-ya-tpb-yaandaa-mkutano-wa-benki.html
0 Response to "BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI"
Post a Comment