Loading...

BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI

Loading...
BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI
link : BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI

soma pia


BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI

Na Dotto Mwaibale.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ` (Mb.) leo amezindua Bodi mpya ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) ambayo mwenyekiti wake ni Dr.Fatma Mrisho. 

Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni pamoja na Bi. Uphoo Swai, Dkt. Eliamini Sedoyeke, Bw. Ahmed Shaaban Kilima, Bw. Mwemezi Elnathan Ngemera, Bw. Lubengo Hilary Nyang’ula, Prof. Eligius Francis Lyamuya na Dkt. Marina Daula Njelekela ``huku mjumbe mwingine wa Bodi hiyo akitegemewa kuteuliwa hivi karibuni.

Mhe. Ummy amewataka wajumbe wa bodi hiyo, kufanya kazi kama timu moja kwa kutumia taaluma na weledi wao ili kuhakikisha wanasimamia vyema utendaji wa shughuli za Bohari ya Dawa na kufikia viwango bora vya ufanisi zaidi katika ugavi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara.

Aidha amewasihi wajumbe hao kuhakikisha MSD inajiendesha kibiashara, sambamba na kuzingatia taratibu za kitaalamu zinazohusiana na usimamizi na udhibiti wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi pamoja na maelekezo ya sheria ya manunuzi ya umma.

Waziri Ummy ameielekeza bodi hiyo kuhakikisha Bohari ya Dawa inajiendesha vyema kifedha na shughuli zake kuendeshwa kwa gharama nafuu, kuziba mianya yote ya rushwa, wizi na ubadhirifu wa aina yoyote ile, upatikanaji wa Dawa, Vifaa tiba na Vitendanishi vyenye ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa na mwisho kusimamia, kuboresha na kudumisha matumizi ya tehama ili kuleta tija katika utekelezaji wa majukumu ya Bohari ya Dawa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ` (kushoto), akimkabidhi vifaa vya kazi Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Udhamini ya Bohari ya Dawa (MSD), Dkt.Fatma Mrisho baada ya kuizindua rasmi Dar es Salaam leo.
` Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, akizungumza na wajumbe wa bodi hiyo.
Mjumbe wa bodi hiyo, Dkt.Marina Njelekela, akizungumza wakati wa uzinduzi huo wa bodi.`
Baadhi ya maofisa wa MSD wakiwa kwenye uzinduzi huo.



Hivyo makala BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI

yaani makala yote BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/bohari-ya-dawa-msd-yapata-bodi-mpya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BOHARI YA DAWA (MSD) YAPATA BODI MPYA YA WADHAMINI"

Post a Comment

Loading...