Loading...

DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi

Loading...
DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi
link : DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi

soma pia


DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi

Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Mhe. Gift Isaya Msuya amesema kuwa Wilaya hiyo imejipanga kutekeleza miradi ya kimkakati itakayosaidia kuwakwamua wananchi kiuchumi katika kipindi cha mwaka 2019. 

Akizungumza katika mahojiano maalum amesema kuwa miradi hiyo itajikita katika sekta za Kilimo, Ufugaji, Elimu, Afya ambapo itawawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi na kujiletea maendeleo . 

“ Tumelenga kujenga Mabwawa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kwa kuwa Wilaya yetu ina ardhi yenye rutuba na wananchi wanao uwezo mkubwa wa kushiriki katika uzalishaji kupitia sekta hii ndio maana tumeamua kuweka mikakati ya kukuza uzalishaji na kuchochea ujenzi wa uchumi wa viwanda”. Alisisitiza Mhe. Msuya 

Akifafanua amesema kuwa kilimo cha umwagiliaji kitasaidia kuongeza uzalishaji wa mpunga pamoja na mazao mengine ya biashara yatakayochochea ustawi wa wananchi na kukuza uchumi kwa ujumla. 

Akizungumzia huduma za afya amesema kuwa Wilaya hiyo imepokea shilingi Bilioni moja na nusu kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo na tayari maandalizi ya ujenzi yameanza ambapo mradi huo utakapokamilika utakuwa ukombozi mkubwa kwa wananchi wa Wilaya hiyo na maeneo ya jirani. 

Alitaja miradi mingine inayotekelezwa katika Wilaya hiyo kuwa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha Afya katika jimbo la Igalula kilichogharimu milioni 400 ambapo ujenzi wake uko katika hatua za mwisho kukamilika ili wananchi waanze kupata huduma. 

Kwa upande wa kituo cha Afya Utege kilichopo jimbo la Tabora Kaskazini Mhe. Msuya amebainisha kuwa kimekamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi wa eneo hilo hali inayoonesha dhamira safi ya Serikali kuleta ustawi kwa wananchi kwa kuboresha huduma za afya. 



Hivyo makala DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi

yaani makala yote DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/dc-uyui-aja-na-mikakati-ya-kuwakwamua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC Uyui Aja na Mikakati ya Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi"

Post a Comment

Loading...