Loading...

DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA

Loading...
DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA
link : DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA

soma pia


DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA

Baada ya kuonesha uzembe katika moja ya mabao aliyofungwa jana kwenye mchezo wa Kombe la FA, mashabiki wa Simba wamemtupia lawama Deogratius Munish 'Dida'.

Simba ilifungwa bao 3-2 na Mashujaa United na kusepeshwa nje ya mashindano hayo huku maana ya kikosi kipana cha Simba kikizua mjadala.

Kutokana na kichapo hicho, baadhi ya mashabiki waliokuwa Uwanjani waliibuka na kusema bao la tatu katika dakika za mwisho ilikuwa ni uzembe wa Dida.

Wapo walioeleza kuwa kipa huyo anajiwekea nafasi ngumu ya kupata namba kwenye kikosi cha kwanza kutokana na uzembe ambao aliuonesha kwa kufungwa goli la kirahisi.

Kichapo hicho kimewafanya Simba kuweka rekodi ya aina yake ya kutolewa mara mbili mfululizo kwenye mashindano hayo ikiwa ni baada ya mwaka jana kufungwa na Green Warriors kwa bao 1-0.


Hivyo makala DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA

yaani makala yote DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/dida-ajiweka-pabaya-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA"

Post a Comment

Loading...