Loading...

DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI

Loading...
DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI
link : DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI

soma pia


DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI

Na Is-Haka Omar, Zanzibar
WATENDAJI wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya ziara za kiutendaji kwa wananchi wa ngazi zote ili kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu changamoto zinazowakabili wananchi. Rai hiyo ameitoa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi katika mwendelezo wa ziara zake za kukagua utekelezaji wa Ilani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja.

Amesema lazima watendaji na viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia mfumo wa ugatuzi washuke kwa wananchi kwa lengo la kufuatilia masuala mbali mbali yatakayosaidia kumaliza changamoto zinazowakabili wananchi katika ngazi za serikali za mitaa. "Lengo la Serikali Kuu kushusha madaraka katika Serikali za Mitaa kupitia dhana ya ugatuzi ni kuongeza ufasini wa uimarishaji wa huduma za kijamii kwa wananchi, hivyo watendaji nyote mlioaminiwa na kupewa dhamana ya kuwahudumia wananchi lazima muwe katibu na jamii", amesisitiza Dk.Mabodi.

Katika maelezo yake Naibu Katibu Mkuu huyo, amewataka wamewasihi watendaji hao kuwa wabunifu katika kuibua miradi mbali mbali ya kijamii inayoweza kuongeza ufanisi wa kutoa huduma bora kwa wananchi. Pia Dk. Mabodi kupitia ziara yake hiyo ameelezea kuridhishwa kwake na utendaji mzuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini 'A' katika kutekeleza vizuri miradi inayotekelezwa kupitia ugatuzi.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi akizungumza na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kaskazini 'A' katika mwendelezo wa ziara yake katika Mabaraza ya Manispaa na Halmashauri za Wilaya Unguja.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi akionyesha moja ya ripoti za ukaguzi wa miradi ya mfuko wa maendeleo wa majimbo huku akisisitiza uwajibikaji na uwazi juu ya matumizi ya fedha zinazotolewa na Wabunge na Wawakilishi Zanzibar.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi akiwa na wananchi wa shehia ya Mbuyu Tende wakielekea kukagua mradi wa umeme na maji katika kijiji cha Zingani.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi akigagua mashine ya kukoboa mpunga aina ya G-20 inayomilikiwa na kikundi cha ushirika wa 'Nguvu kazi tusizembee' huko Shehia ya Kisongoni Wadi ya Kinyasini Unguja.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI

yaani makala yote DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/dkt-mabodi-awataka-watendaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. MABODI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA KARIBU NA WANANCHI"

Post a Comment

Loading...