Loading...

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA

Loading...
RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA
link : RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA

soma pia


RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Bi. Maha Damaj, Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendeleo ya Watoto (UNICEF) Ofisi ya Zanzibar, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo ,4/12/2018.(Picha na Ikulu )
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania,Bi.Maniza Zaman,(katikati) alipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mkuu wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Bi. Maha Damaj,kwa Rais wa Zanzibar, leo Ikulu 4/12/2018 na kufanya mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na wageni wake kutoka Shirika la la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendeleo ya Watoto (UNICEF) katikati Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman na Mkuu Mpya wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Bi. Maha Damaj, alipofika Ikulu Zanzibar kutambulishwa kwa Rais wa Zanzibar leo 4/12/2018.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman, alipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mkuu wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar, Bi.Maha Damaj, kwa Rais wa Zanzibar. (Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA

yaani makala yote RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dktshein-azungumza-na-mwakilishi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA"

Post a Comment

Loading...