Loading...
title : Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini
link : Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini
Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini
Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akiongea na wanahabari baada ya kuzindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma bora za afya nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2018
Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akikagua mabanda ya washirika akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Ubora na Uhakiki wa Huduma za Afya toka Wizara ya Afya Dkt.Mohamed Mohamed baada ya kuzindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma bora za afya nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2018

Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ubora na Uhakiki wa Huduma za Afya toka Wizara ya Afya Dkt.Mohamed Mohamed pamoja na washirika baada ya kuzindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma bora za afya nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2018. Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii
Hivyo makala Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini
yaani makala yote Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/dkt-ulisubisya-azindua-mkutano-wa-kutoa.html
0 Response to "Dkt. Ulisubisya azindua Mkutano wa Kutoa matokeo ya mpango mkakati wa uboreshaji wa huduma za afya nchini"
Post a Comment