Loading...
title : FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU
link : FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU
FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU
Filamu ya KESHO YANGU inatarajiwa kuzinduliwa Desemba I5 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Filamu hiyo ambayo inawakutanisha wasanii wakongwe katika tasnia ya filamu, wadau mbalimbali wamekuwa na shauku ya kuangalia filamu hiyo.
Akizungumizia filamu hiyo Msanii Daud Michael 'Duma' amesema kuwa filamu hiyo amewashirikisha wasanii mbalimbali ili kuhakikisha kazi inakuwa na ubora.
"Watanzania wanapaswa kujitokeza Siku ya Desemba I5 mwaka huu Mlimani City ili kushuudia uzindizi wa Filamu ya kesho yangu" amesema Duma.
Hivyo makala FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU
yaani makala yote FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/filamu-ya-kesho-yangu-rasmi-desemba-i5.html
0 Response to "FILAMU YA KESHO YANGU RASMI DESEMBA I5 MWAKA HUU"
Post a Comment